Close

Agritour Kisarawe 2025

TZS 70,000/

per person
  • 2 Days / 1 Night
  • Max People : 50

Linda Mazingira. Lima Kitaalamu. Jifunze kwa Vitendo.

Jiunge nasi katika Agritour - Bata Shambani, tukio la kipekee la siku mbili linalolenga kukuza kilimo rafiki kwa mazingira na ustawi wa jamii. Tukio hili linaleta pamoja wakulima, wataalamu wa kilimo, vijana, na watetezi wa mazingira kwa ajili ya kujifunza, kushirikiana, na kufurahia.

Kauli mbiu:
"Linda Mazingira. Lima Kitaalamu. Jifunze kwa Vitendo."

Activities (Shughuli Zitakazofanyika):

Warsha na Mafunzo

  • Mbinu za kilimo hai na kilimo mseto

  • Utunzaji wa udongo na matumizi bora ya maji

  • Umwagiliaji unaookoa maji na teknolojia rahisi za kilimo

Matembezi ya Mashamba (Field Tours)

  • Kutembelea mashamba ya mfano

  • Kujifunza kwa vitendo kuhusu utunzaji wa mazingira kupitia kilimo

Burudani & Camping

  • Muziki, michezo ya asili, jioni ya hadithi na moto wa kambi

  • Usiku wa kusherehekea kilimo na utamaduni

Usafiri na Malazi

  • Usafiri wa kwenda na kurudi

  • Kambi salama na mazingira rafiki kwa washiriki wote

Chakula & Vyakula vya Asili

  • Menyu ya vyakula vya kiasili

  • Vyakula vinavyopatikana mashambani

Zawadi na Mashindano

  • Mashindano ya ujuzi wa kilimo

  • Tuzo kwa washiriki wanaoonyesha ubunifu na maarifa

Included and Excluded

  • Usafiri wa kwenda na kurudi
  • Chakula (mlo kamili na vitafunwa)
  • T-shirt ya tukio
  • Malazi ya camping kwa usiku mmoja
  • Burudani za jioni (muziki, hadithi, michezo)
  • Mafunzo na warsha za kitaalamu
  • Matembezi ya mashamba
  • Kushiriki mashindano na kushinda zawadi

Highlights of the Tour

  • Warsha na Mafunzo
  • Matembezi ya Mashamba (Field Tours)
  • Burudani & Camping
  • Usafiri na Malazi

Book Your Tour

Total Price: TZS 0

Reserve your ideal trip early for a hassle-free trip; secure comfort and convenience!

To More Inquiry
+255 767 907 296

Our Agritour Past Experiences